Majadiliano ya mtumiaji:Kipsizoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages.

--Kipala (majadiliano) 11:28, 10 Agosti 2011 (UTC)

makala ya Web design[hariri chanzo]

Ndugu Kipsizoo, sijaona mabadiliko yako katika makala hii. Angalia historia ya makala: http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Web_design&action=history - hujahariri. Kwa vyovyote, mpaka neno la 'web design' itafsiriwe lenyewe kwa vile ni Kiingereza na siyo Kiswahili. Nilivyokuandikia kwenye Twitter: Uangalie ujumbe wa 'karibu kwenye wikipedia' hapo juu na kufuata viungo vya kurasa za msaada. Tusonge mbele! --Baba Tabita (majadiliano) 16:00, 18 Agosti 2011 (UTC)

HIV/AIDS mradi[hariri chanzo]

Ukarasa hapa Rich Farmbrough

Derby Museum and Art gallery[hariri chanzo]

Hujambo Kipsizoo? Though I don't speak kiswahili myself, I was very happy to see your translation "Nyumba ya sanaa Kwenye Makavazi ya Derby" and I asked my brother to proofread this article - hope his changes are accurate - if not, feel free to revert. Kwa heri! Dominik --89.224.174.28 12:53, 1 Septemba 2011 (UTC)

Good morning[hariri chanzo]

Nice to see you up and editing so early. Face-smile.svg Rich Farmbrough , 08:49, 2 Novemba 2011 (UTC).

Does this make sense?[hariri chanzo]

Please help: replace this red text with a translation of the English message below. Thank you!
@MonmouthpediA announces the Charles Rolls Challenge

This is the first multilingual Wikipedia collaboration to create a Wiki-Town. All Wikipedians can take part, in any language. The challenge runs from 1 March until the 19th of April 2012. (Prizegiving webstreamed on 21st April).
[Sign up now!]
"Can you imagine a Wiki Project that involves 1,000 QRpedia codes and free WiFi?"

Hi Kosgei - can you tell me if this works on your wiki? If it does then can you copy to the Swahili Village Pump? Thanks Victuallers (majadiliano) 13:21, 29 Februari 2012 (UTC)