Majadiliano ya mtumiaji:Kalvoveen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 21:23, 4 Desemba 2009 (UTC)

Ardhi[hariri chanzo]

Salaam Bw Kalvoveen, ulianzisha makala ya "ardhi". Kuna matata mawili:

  1. ulitumia makala ya mwelekezo iliyokuwepo tayari na kufuta kiungo cha kuelekeza "dunia". Hii imeleta matata maana bado ukurasa wa majadilino uko huko "dunia". Afadhali kuhamisha kwenda Ardhi (maana).
  1. Ulichotafsiri ilikuwa makala ya maana (disambiguation). Afadhali angalia Msaada:Maana kwa kuanzisha makala hizi, pamoja na Wikipedia:Makosa#7 Kutafsiri majina maalumu.

c) Tokeo lake haliweza kubaki naomba usome baada ya viungo viwili vya juu pia wikipedia:mwongozo na jaribu kusahihisha. Ukiwa na swali karibu kwenye ukurasa wangu wa majadiliano! --Kipala (majadiliano) 21:19, 11 Desemba 2009 (UTC)

Nywila[hariri chanzo]

Salaam, Ndugu Kalvoveen. Kwenye ukurasa wa uwasilishaji wa JKUAT uliwasilisha makala ya nywila. Bahati mbaya haijaingizwa katika wikipedia, angalao kiungo chake ni kitupu. Ukitaka kupata 'points' naomba ujaze makala na tafsiri yako. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 09:42, 23 Desemba 2009 (UTC)