Majadiliano ya mtumiaji:Joshua melkiory shirima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 06:55, 15 Mei 2021 (UTC)Reply[reply]

Kuhusu kuhakiki makala[hariri chanzo]

Habari ndugu Joshua, ni vyema kabla ya kuchapisha makala, ukaonyesha HAKIKISHO LA MABADILIKO (ukafanya kama una preview makala yako) kabla ya kuichapisha, hiyo itasaidia sana kupunguza baadhi ya makosa makubwa katika makala na kuwapa nafasi wahariri wengine kuipitia makala yako kwa urahisi kabisa, Amani sana kwako Idd ninga (majadiliano)

Saw kaka hamn tabu nitafanya hivyo ila ilikua ni bahati mbay nika sahaunika chapisha ila kam kunaelekez naomb unopatie bc Anuary Rajabu (majadiliano) 13:44, 29 Mei 2021 (UTC)Reply[reply]