Majadiliano ya mtumiaji:Jenomu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Baba Tabita (majadiliano) 17:22, 26 Januari 2011 (UTC)[jibu]

Olá, como está?[hariri chanzo]

Oi, Jenomu, finalmente encontrei sua conta aqui no Wikipédia, como está indo a vida no Brasil? Tudo bem? Você se lembra de quando tivemos conversas sobre palavras em inglês e o impacto delas sobre o suaíle? Estou tendo dúvidas sobre o assunto novamente, agora com alguns termos mais comuns. Já que você estudou em sua infância na escola de Zanzibar, você talvez possa me ajudar com isso. Tenho dúvidas sobre os nomes dos planetas, pois tenho alguns livros-texto que se contradizem de certa forma ao tratar dos nomes dos planetas. Gostaria de saber, portanto, o que você aprendeu (e se aprendeu isso em sua escola) e o que os seus livros textos dizem sobre tal assunto? --Mjanja 23 Aprili 2011

Olá, Majanja, obrigado pelo seu contato. Estou tendo muitas dificuldades aqui no Brasil, mas felizmente as pessoas são bastante amigáveis.

Lembro-me muito bem do tempo que conversávamos sobre o suaíle, mas agora sobre minha escola em Zanzibar... faz tanto tempo que estudei lá, terei que procurar meus antigos livros para isso. Os nomes dos planetas sempre traz discussões. O que é ensinado para nós é: Zebaki (Mercúrio) Zuhura (Vênus) Dunia (Terra) Meriki (Marte) Mshtarii (Júpiter) Sarateni (Saturno) Zohali (Zohari - Urano) Kausi (Netuno) Utaridi (Plutão)

Entretanto, em meu dicionário Tuki da Terceira Edição, eles trazem (Saturn, Uranus, Neptune) como os nomes para esses planetas. Então, realmente é algo controverso. Espero que esteja bem e espero ter ajudado. Até mais. --Jenomu 23 Aprili 2011

Salaam naona umehariri makala ya sayari kadhaa kwa kuingiza majina ulioyotaja kuwa majina ya "Kiswahili". Nataka kuuliza kama umefuatilia majadiliano tuliyokuwa juu ya swali hili hapa sw? Kipala (majadiliano) 16:17, 30 Aprili 2011 (UTC)[jibu]
Habari, Kipala. Ndiyo, nimesoma majadiliano na kurasa nyengine pia, na nimegundua kuna matatizo kwenye kuzirekebisha makala, nimeona kuwa hizo kurasa zimebadilishwa mara nyingi na nakubaliana nawe jina la makala kuu lisibadilishwe bila majadiliano ndio maana sijafanya hivyo. Hizo istilahi zinachanganya kama unavyoona kwenye masomo yako. Nimebadilisha hizo makala kwasababu tunayo majina yake, japokuwa tunatumia Kiengereza kwa kawaida. Sina uhakika kama ni sawa kwasababu, sijui kurekebisha vizuri, lakini najua hayo maneno ni sahihi, na nimekuonyesha ushahidi. Kama muna maswali mengine, tafadhali niulize. --Jenomu 30 Aprili 2011
Asante kwa jibu lako. Naona hujasoma yote lakini hii ni vigumu kwa sababu majadiliano yalitokea mahali mbalimbali. Nimeonyesha sasa utafiti wa vyanzo mbalimbali kwenye ukurasa "Majadiliano:Sayari". Ni wazi ya kwamba vitabu vya shule vilivyotolewa juzi vinafuata orodha yenye makosa. Inasikitisha hasa ya kwamba makosa haya yanaonekana katika KAST inayotakiwa kuwa hapa chanzo chenye mamlaka juu lakini si vile. Kwa hiyo nimerejesha mabadiliko kadhaa uliyofanya. Jambo muhimu ni kuhakikisha ya kwamba redirects ziko hata kwa majina yasiyo ya uhakika au yenye makosa ya wazi. Kipala (majadiliano) 07:50, 1 Mei 2011 (UTC)[jibu]