Majadiliano ya mtumiaji:JOSHUA BEATUS
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:45, 8 Mei 2022 (UTC)
- Ndugu, hongera kwa bidii zako, ila angalia usianzishe makala ambazo zipo tayari kwa jina lingine, hasa la Kiswahili wakati wewe unafuata jina la Wikipedia kwa Kiingereza (k.mf. Giraffe). Pia usiweke viungo vinavyoelekeza Wikipedia hiyo badala ya vyanzo vyake. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:14, 17 Mei 2023 (UTC)
- sawa ndugu nashukuru kwa taarifa je nawezaje kurudisha akaunti yang iliyofungiwa JOSHUA BEATUS (majadiliano) 08:42, 17 Mei 2023 (UTC)
- Ndugu, unapoonywa, usikaidi. Kwa sasa naondoa zuio lako, ila uwe makini zaidi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:52, 17 Mei 2023 (UTC)
- ndugu, punguza mwendo angalia vizuri unacho hariri kabla ya kuchapisha , kuna kurasa wa kuonyesha mabadiliko kabla ya kuchapisha lakin unaupuuzia na kuchapisha amani kwako!! Hussein m mmbaga (majadiliano) 08:20, 4 Mei 2024 (UTC)
- Ndugu, unapoonywa, usikaidi. Kwa sasa naondoa zuio lako, ila uwe makini zaidi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:52, 17 Mei 2023 (UTC)
- sawa ndugu nashukuru kwa taarifa je nawezaje kurudisha akaunti yang iliyofungiwa JOSHUA BEATUS (majadiliano) 08:42, 17 Mei 2023 (UTC)