Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Feelinabsurd

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Umeingiza matini ambayo hayalingani na muundo wa Wikipedia. Tena pengine umeyanakili kutoka tovuti fulani, jambo ambalo halikubaliki. Nitayarekebisha sana, wala usishangae. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:22, 30 Novemba 2019 (UTC)[jibu]
Umefuta tena kiungo nilichokirejesha kwanza. Afadhali ungetueleza kwanza kwa nini unaona habari zake si za kweli. Ukikifuta tena bila majadiliano, nitakuzuia. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:52, 14 Februari 2022 (UTC)[jibu]
I deleted the link because the linked article is full of misinformation about homosexuality and frankly hateful. I did explain that when I first removed it. The article claims that homosexuality is "perverted" and a "mental disorder," which is blatantly untrue and harmful. Such information should have no place on Wikipedia! Feelinabsurd (majadiliano) 16:17, 14 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Sijui kama mchangiaji hawezi kujieleza kwa lugha ya Kiswahili maana naona ni vigumu akijaribu kushambulia marejeo katika makala ya lugha ambayo hafahamu (labda akitegemea tafsiri ya komyputa tu?). Hata hivyo, naona ingekuwa vema kuonyesha kwa nini marejeo husika yana umuhimu kwa mada inayojadiliwa na vipi yana maana kwa mada inayojadiliwa. Kipala (majadiliano) 19:48, 14 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Hi Feelinabsurd, I see you are arguing here in English language. Are you able to bring your argument in the language of this wikipedia? Do you understand the context of the link? Or do you just try to erase anything you do not like? This is definitively not covincing nor acceptable. Do you understand the arguments in the article you try to edit? Kipala (majadiliano) 20:05, 14 Februari 2022 (UTC)[jibu]
I understand enough to understand that the linked article is homophobic and hence not appropriate for Wikipedia. Are you denying it's homophobic? Feelinabsurd (majadiliano) 00:14, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Homophoby is an abused term, for it originally means hating homosexuals. Now you and many others are trying to use it to defend homosexuality as a very good thing. Please, be informed that our Swahili speaking people don't accept your vision about sexuality, and they have very good reasons, though English Wikipedia doesn't allow us to express them. But what English edition says isn't a dogma! Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:30, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Homosexuality is a normal and healthy variation of human sexuality and there are no good reasons to think it's a "bad thing." Also, you do not speak for the "Swahili-speaking people." Neither do I. But the science is clear, and the article in its current form is misleading and harmful, and inappropriate for an encyclopedia article. It is sad to see Europeans like who go to Africa and fuel hatred instead of trying to make things better. Feelinabsurd (majadiliano) 17:55, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]

The article quotes a person with obvious anti-homosexual bias. The main part is about quoting a psychologist who reports on hightened risks for homosexual persons to be affected by pschological disturbances, drug abuse and suicide (which is the present state of science), resulting from discrimination and exclusion experiences. I think you are not in a position to contribute meaningfully to a wikipedia whose language you do not understand. Tena sina hamu kuendelea kujadili hapa kwa Kiingereza. - hata hivyo, swali langu halikujibiwa je marejeo hayo yanalenga nini katika makala hiyo? Kipala (majadiliano) 14:39, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]

So why would you link an article that quotes a person with obvious anti-homosexual bias? Do you think that's helpful, in particular in the context of Tanzania? Feelinabsurd (majadiliano) 17:58, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Napendekeza mtumiaji asimamishwe kwa muda mpaka hapo atakapo tuandikia kuwa yuko tayari kuendana na misingi ya sw.wikipedia. Asante, Amani kwa wote. Olimasy (majadiliano)
Sioni uharabu upande wake wala nia mbaya. Anajaribu tu kuhariri makala ambayo haelewi (nahisi anategemea google translate) ilhali hajaonyesha dalili bado ya kuingilia zaidi, Basi nimeweka makala hii kwenye ulinzi mkuu hawezi kuihariri tena. Kipala (majadiliano) 19:35, 15 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Sawa tuendelee kufuatilia makala zake nyingine. Olimasy (majadiliano) 06:08, 16 Februari 2022 (UTC)[jibu]
Please, don't think I came from Europe to fuel hatred against anyone. I came to help people love one another, and I do so each and every day. I myself do have homosexual friends and relatives too. This doesn't mean that I can accept homosexuality as a normal and healthy variation of human sexuality. Nor I accept that science is clear on the subject. May be you read only some scientists. Moreover your vision of our Swahili speaking countries and culture is not very positive, but please let you accept that we also may have many reserves about Western civilization. I don't speak on behalf of our people, but statistics say that 95% of Tanzanians and Kenyans think homosexuals have to be persecuted. So I am one of the few Tanzanians who don't think such persecution is good. Finally, about our article, the external links are two: 1 pro and 1 contra. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 16 Februari 2022 (UTC)[jibu]