Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:EVTOfficial

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Anuary Rajabu (majadiliano) 23:14, 23 Mei 2024 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya Kompyuta[hariri chanzo]

Habari ndugu,

Pongezi na karibu katika Wikipedia ya Kiswahili, unaonekana ni muhariri mgeni, karibu sana. Katika makala hii ya Claire Duck umetumia "Translation tool" kuianzisha, sio kitu kibaya lakini inahitaji umakini na uzoefu wa hali ya juu ili kuanzisha makala yenye ubora, kwahivyo kwakua bado huna uzoefu mkubwa wa kuitumia kwa sasa tumia njia ya kawaida ya kutafsiri kwenye ukurasa wako wa mtumiaji (Pitia ukurasa huu Wikipedia:Mwongozo kujifunza namna ya kuanzisha makala) na baada ya kuhakikisha makala ipo sahihi na vizuri ndio uichapishe kwenye ukurasa mkuu. Makala hii ya Claire Duck ilikua na makosa kadhaa ya lugha ya tafsiri ya kompyuta na muundo, nimejaribu kuiweka sawa unaweza ipitia kwa mara nyingine na kujifunza.

Amani kwako Anuary Rajabu (majadiliano) 23:39, 23 Mei 2024 (UTC)[jibu]