Majadiliano ya mtumiaji:Anjakretfep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Angalia: wewe hujawa mkabidhi wala bureaucrat. Labda baada ya kuchangia sana Wikipedia yetu. Jitahidi, basi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:45, 11 Juni 2018 (UTC)[reply]

Asante kwa kunirekebisha, bado sijapata umahiri katika matumizi ya Wikipedia ya Kiswahili lakini nina matumaini ntafikia kiwango kile cha mkabidhi na bureaucrat. Mimi ni mhariri wa lugha ya kingereza lakini naelewa kiswahili vyema hivyo nilitafsiri tu beji toka kwa ukurasa wa kingereza zingine sikuwa na uhakika zina maana gani. Asanti kwa yote

--Anjakretfep (majadiliano) 10:48, 11 Juni 2018 (UTC)[reply]

Ndugu, endelea kuchangia, lakini jitambue kwamba Kiswahili chako ni cha wasiwasi, kwa hiyo usijaribu kubadili matini usipokuwa na hakika kuhusu sarufi au misamiati. Amani kwako tena! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:43, 7 Julai 2018 (UTC)[reply]

Bilula dhidi ya fauseti[hariri chanzo]

Anja salaam. Tafadhali ningependa ujibu swali yangu hapa: Majadiliano:Fauseti_(Bilula). Asante. ChriKo (majadiliano) 19:37, 12 Julai 2018 (UTC)[reply]

Tovuti za biashara[hariri chanzo]

Ndugu, kama hujajua, Wikipedia si mahali pa propaganda. Hivyo usiweke viungo vya tovuti za biashara. Kazi njema na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:37, 20 Desemba 2018 (UTC)[reply]

Nasisitiza hilo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:38, 13 Januari 2019 (UTC)[reply]
Naelewa vyema Wikipedia sio mahali pa propaganda na nimemakinika katika michango yangu, sijaongeza tovuti yeyote tangu rekebisho lako nasahihi tu sarufi. Asante!! --Anjakretfep (majadiliano) 07:57, 13 Januari 2019 (UTC)[reply]

Mlawangi[hariri chanzo]

Nimeondoa "mlawangi" katika makala mnyama. Maana nimeikuta pale facebook pekee, haiko katika kamusi zangu. Hata sielewi etimolojia yake. Ukiwa na ushuhuda basi tunaweza kuirudisha. Kipala (majadiliano) 07:23, 29 Januari 2019 (UTC)[reply]