Nenda kwa yaliyomo

Matokeo ya utafutaji

Showing results for paulo. No results found for PAULOM.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for São Paulo
    São Paulo (Kireno: Mt. Paulo) ni jiji kubwa la Brazil pia jiji kubwa katika nusudunia ya kusini lenye wakazi zaidi ya milioni 10 jijini au karibu milioni...
    1 KB (maneno 150) - 03:28, 4 Agosti 2024
  • Thumbnail for Mtakatifu Paulo
    Mtume Paulo (7-67 hivi) ni mmisionari mkuu wa Yesu Kristo katika historia ya Kanisa. Alitangaza kifo na ufufuko wake katika nchi karibu zote zilizopo...
    17 KB (maneno 2,214) - 19:11, 2 Januari 2024
  • Thumbnail for Jimbo la São Paulo
    São Paulo ni jina la kutaja jimbo huko nchini Brazil. Hili ndiyo jimbo kubwa kupita majimbo yote na ndiyo jimbo pekee lenye viwanda vingi na kukuza uchumi...
    709 bytes (maneno 51) - 06:55, 6 Julai 2023
  • Thumbnail for Paulo Diakono
    Paulo Diakono (takriban 720 - 13 Aprili 799) alikuwa mmonaki Mbenedikto, shemasi na mwanahistoria aliyetoka kabila la Walongobardi. Kati ya miaka 782...
    2 KB (maneno 175) - 07:33, 7 Februari 2016
  • Thumbnail for Papa Paulo III
    Papa Paulo III (29 Februari 1468 – 10 Novemba 1549) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Oktoba/3 Novemba 1534 hadi kifo chake. Alitokea Canino, Viterbo, Italia...
    969 bytes (maneno 78) - 19:53, 2 Aprili 2022
  • Thumbnail for Papa Paulo V
    Papa Paulo V (17 Septemba 1550 – 28 Januari 1621) alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Mei/29 Mei 1605 hadi kifo chake. Alitokea Roma, Italia. Jina lake la...
    865 bytes (maneno 77) - 12:46, 20 Machi 2022
  • Thumbnail for Mitume Petro na Paulo
    Sherehe ya Mitume Petro na Paulo ni sikukuu ya fahari kwa heshima ya kifodini cha watakatifu hao kilichotokea mjini Roma katika miaka ya 60 BK kutokana...
    2 KB (maneno 213) - 14:44, 24 Januari 2021
  • Thumbnail for Papa Paulo II
    Papa Paulo II (23 Februari 1417 – 26 Julai 1471) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Agosti/16 Septemba 1464 hadi kifo chake. Alitokea Venezia, Italia. Jina...
    876 bytes (maneno 77) - 12:48, 20 Machi 2022
  • Thumbnail for Papa Paulo IV
    Papa Paulo IV (28 Juni 1476 – 18 Agosti 1559) alikuwa Papa kuanzia tarehe 23/26 Mei 1555 hadi kifo chake. Alitokea Capriglia, Avellino, Italia. Jina lake...
    1 KB (maneno 86) - 12:49, 20 Machi 2022
  • Thumbnail for Nyaraka za Paulo
    Nyaraka za Paulo ni maandiko ya Biblia ya Kikristo (Agano Jipya) 13 yenye mtindo wa nyaraka au barua yanayomtaja Mtume Paulo kama mwandishi. Wataalamu...
    10 KB (maneno 1,401) - 22:40, 18 Januari 2021
  • Thumbnail for Papa Paulo VI
    Papa Paulo VI (26 Septemba 1897 – 6 Agosti 1978) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21/30 Juni 1963 hadi kifo chake. Alitokea Concesio, Brescia, Italia. Jina...
    6 KB (maneno 789) - 12:45, 20 Machi 2022
  • Thumbnail for Papa Yohane Paulo I
    Papa Yohane Paulo I (17 Oktoba 1912 – 28 Septemba 1978) alikuwa Papa kwa siku 33 tu kuanzia 26 Agosti/3 Septemba 1978 hadi kifo chake kilichotokea ghafla...
    1 KB (maneno 163) - 10:46, 12 Septemba 2022
  • Thumbnail for Vinsenti wa Paulo
    Vinsenti wa Paulo (Pouy, Gascony, 24 Aprili 1581 - Paris, 27 Septemba 1660) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka [[Ufaransa] maarufu hasa kwa huruma...
    3 KB (maneno 263) - 12:01, 18 Juni 2024
  • Thumbnail for Paulo wa Tebe
    Paulo wa Tebe (230 hivi - Jangwa la Thebe, 5 Januari 342) anakumbukwa kama mkaapweke wa Kikristo wa kwanza nchini Misri. Anaheshimiwa na Wakatoliki na...
    23 KB (maneno 3,340) - 18:16, 29 Novemba 2021
  • Thumbnail for Paulo Miki
    Paulo Miki (takriban 1565 – 5 Februari 1597) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Japani. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni...
    2 KB (maneno 219) - 12:02, 31 Julai 2022
  • Thumbnail for Papa Paulo I
    Papa Paulo I alikuwa Papa kuanzia mwezi Aprili au tarehe 29 Mei 757 hadi kifo chake tarehe 28 Juni 767. Alitokea Roma, Lazio, Italia katika familia Orsini...
    2 KB (maneno 207) - 13:34, 7 Oktoba 2023
  • Thumbnail for Paulo Ge Tingzhu
    Paulo Ge Tingzhu (Xiaotun, 1839 hivi - Xiaotun, 8 Agosti 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa. Kiongozi wa Wakristo...
    1 KB (maneno 102) - 08:26, 29 Machi 2024
  • Thumbnail for Papa Yohane Paulo II
    Papa Yohane Paulo II (kwa Kilatini: Ioannes Paulus PP. II; kwa Kiitalia: Giovanni Paolo II; kwa Kipolandi: Jan Paweł II; kwa Kiingereza: John Paul II;...
    60 KB (maneno 5,317) - 14:14, 1 Oktoba 2024
  • Paulo Suzuki alikuwa katekista wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597). Dhuluma dhidi ya Wakatoliki zilipozidi, yeye na wenzake...
    2 KB (maneno 176) - 11:53, 31 Julai 2022
  • Paulo Ibaraki alikuwa katekista wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597). Dhuluma dhidi ya Wakatoliki zilipozidi, yeye na...
    2 KB (maneno 175) - 11:52, 31 Julai 2022
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)