Paulo Diakono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Paulo Diakono (takriban 720 hadi 797) alikuwa mwanahistoria aliyetoka kabila la Walangobardi. Kati ya miaka 782 na 787 aliishi ikuluni mwa mfalme Karoli Mashuhuri. Aliandika historia ya maaskofu wa mji wa Metz, historia ya Walangobardi, na wasifu ya maisha ya Papa Gregori I.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulo Diakono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.