Jimbo la São Paulo
Mandhari
São Paulo ni jina la kutaja jimbo huko nchini Brazil. Hili ndiyo jimbo kubwa kupita majimbo yote na ndiyo jimbo pekee lenye viwanda vingi na kukuza uchumi wa Brazil. Mji mkuu wake ni São Paulo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi (Kireno) Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la São Paulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |