Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Gimba la angani''' ni jina kwa ajili ya vitu au violwa vinayopatikana katika [[anga]] ya [[ulimwengu]].
'''Gimba la angani''' ([[ing.]] ''[[:en:astronomical object|astronomical object]] celestial body'') ni jina kwa ajili ya vitu au violwa vinayopatikana katika [[anga]] ya [[ulimwengu]].


Kati ya vitu hivi huhesabiwa:
Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Pitio la 09:00, 24 Aprili 2017

Gimba la angani (ing. astronomical object celestial body) ni jina kwa ajili ya vitu au violwa vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya magimba ya angani ni astronomia.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.