Dolar ya Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 105.57.146.103 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Dola ya Marekani]]
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Dola ya Marekani]]
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', kifupi '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.

'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', kifupi '''USD''') ni pesa halali ya [[Marekani]]. Alama yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.


Dola ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.
Dola ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.


Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dola (half dollar, senti 50), robo dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] dola (half dollar, senti 50), [[robo]] dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).

Hadi mwaka [[1969]] noti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu [[dhahabu]] kulingana na [[thamani]] ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.


Hadi 1969 benknoti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani atampatia kila mtu [[dhahabu]] kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuibadilisha. Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.


Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] [[1945]] dola ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa bei za dola hizi. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole.
Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole.


[[Jamii:Marekani]]
[[Jamii:Marekani]]

Pitio la 15:46, 20 Oktoba 2015

Dola ya Marekani

Dola ya Marekani (US-Dollar, kifupi USD) ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni USD au mara nyingi alama ya dola tu $.

Dola ya Marekani inapatikana kwa benknoti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.

Dola moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dola (half dollar, senti 50), robo dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).

Hadi mwaka 1969 noti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.

Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini.

Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1945) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole.