Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Nimebadili nomini na utunzi wa lugha kwa ufasaha zaidi inayoipa ukurasa huu dhana ya taaluma ya Falaki.
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|303x303px|Mfalki Piers Sellers nje ya fasikebu [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|303x303px|Mfalki Piers Sellers nje ya fasikebu [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''Mfalki au Mwanafasi '''ni mtu anayezuri [[anga la nje|fasi]] nje ya [[angahewa|anga]] ya [[dunia]] kusafiria fasikebu ambalo hurushwa angani kwa kutumia [[rocket|fataki]]. wa wanaanga kutoka Marekani.
'''Mfalki au Mwanafasi '''ni mtu anayezuri [[anga la nje|fasi]] nje ya [[angahewa|anga]] ya [[dunia]] kusafiria fasikebu ambalo hurushwa angani kwa kutumia [[rocket|fataki]].


Mfalki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] alipaa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani|fasikebu]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.
Mfalki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] alipaa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani|fasikebu]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.

Pitio la 16:12, 3 Septemba 2014

Mfalki Piers Sellers nje ya fasikebu space shuttle tar. 12 Juni 2006

Mfalki au Mwanafasi ni mtu anayezuri fasi nje ya anga ya dunia kusafiria fasikebu ambalo hurushwa angani kwa kutumia fataki.

Mfalki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi Yuri Gagarin kutoka Umoja wa Kisovyeti alipaa tarehe 12 Aprili 1961 kwa fasikebu Vostok akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108.

Alifuatwa 5 Mei 1961 na Alan Shepard kutoka Marekani aliyetumia fasikebu cha Mercury .

Mwanamke wa kwanza kwenye fasi alikuwa Mrusi Valentina Tereshkova mwaka 1963.

Wafalki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani Neil Armstrong na Buzz Aldrin tar. 20 Julai 1969.

Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwa(anga la nje) linaanza kulingana na maelezo ya Shirikisho la Kimataifa la Usafiri wa Fasi (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).

Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye Fasi.

Mfalki aliyekaa muda mrefu fasini alkuwa Mrusi Sergei Krikalyov aliyezuru fasi mara sita, akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39.

Picha za wafalki tajika

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanaanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.