Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 84 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11631 (translate me)
mwanaanga kuwa mwanafalaki kwa ufasaha. Jina Anga kuwa Ombwa. Ombwa ndio jina halisi ya space kwa kiingereza.
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px|Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|303x303px|Mwanafalaki Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''Mwanaanga''' ni mtu anayerushwa katika [[anga la nje]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".
'''Mwanafalaki''' ni mtu anayerushwa katika [[anga la nje]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]] ama ombwa(space) kwa kusafiria [[rocket|fataki]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".


Mwanaanga wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.
Mwanafalaki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.


Alifuatwa [[5 Mei]] 1961 na [[Alan Shepard]] kutoka [[Marekani]] aliyetumia chombo cha angani cha [[Mercury (chombo cha angani)|Mercury]] .
Alifuatwa [[5 Mei]] 1961 na [[Alan Shepard]] kutoka [[Marekani]] aliyetumia chombo cha angani cha [[Mercury (chombo cha angani)|Mercury]] .


Mwanamke wa kwanza angani alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka 1963.
Mwanamke wa kwanza ombwani alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka 1963.


Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
Wanafalaki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].


Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga la nje linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani]] (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwa(anga la nje) linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani|Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa ]]Ombwa (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).


Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye ombwa.


Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.
Mwanafalaki aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika ombwani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.


== Picha za wanaanga ==
== Picha za wanafalaki ==


<gallery caption="" widths="100px" heights="100px" perrow="6">
<gallery caption="" widths="100px" heights="100px" perrow="6">

Pitio la 09:01, 21 Februari 2014

Mwanafalaki Piers Sellers nje ya chombo cha space shuttle tar. 12 Juni 2006

Mwanafalaki ni mtu anayerushwa katika anga la nje lililo nje ya angahewa ya dunia ama ombwa(space) kwa kusafiria fataki. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" (Kirusi космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" (Kiing. astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".

Mwanafalaki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi Yuri Gagarin kutoka Umoja wa Kisovyeti aliyerushwa tarehe 12 Aprili 1961 kwa chombo cha angani Vostok akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108.

Alifuatwa 5 Mei 1961 na Alan Shepard kutoka Marekani aliyetumia chombo cha angani cha Mercury .

Mwanamke wa kwanza ombwani alikuwa Mrusi Valentina Tereshkova mwaka 1963.

Wanafalaki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani Neil Armstrong na Buzz Aldrin tar. 20 Julai 1969.

Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwa(anga la nje) linaanza kulingana na maelezo ya Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Ombwa (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).

Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye ombwa.

Mwanafalaki aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi Sergei Krikalyov aliyefika ombwani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.

Picha za wanafalaki

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanaanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.