Cleopa David Msuya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 8 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q500345 (translate me)
Mstari 33: Mstari 33:
[[Jamii:Waliozaliwa 1931]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1931]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]

[[de:Cleopa David Msuya]]
[[en:Cleopa Msuya]]
[[es:Cleopa David Msuya]]
[[id:Cleopa David Msuya]]
[[nds:Cleopa David Msuya]]
[[no:Cleopa Msuya]]
[[sv:Cleopa David Msuya]]
[[yo:Cleopa David Msuya]]

Pitio la 20:07, 8 Machi 2013

Cleopa David Msuya (amezaliwa 4 Novemba 1931) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Alikuwa Waziri Mkuu mara mbili, 7 Novemba 1980 hadi 24 Februari 1983, na tena 7 Desemba 1994 hadi 28 Novemba 1995. Kwa sasa ameshastaafu siasa ingawa bado anashika nyadhifa mbali mbali serikalini.

Viungo vya nje

Alitanguliwa na
Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tanzania
1980-1983
Akafuatiwa na
Edward Moringe Sokoine
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Waziri Mkuu wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Frederick Sumaye
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Makamu wa Rais wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Omar Ali Juma


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cleopa David Msuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.