Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 12: | Mstari 12: | ||
* [[Galaksi]] |
* [[Galaksi]] |
||
* [[Nebula]] |
* [[Nebula]] |
||
* [[Wingu ( |
* [[Wingu (anga la nje)|Mawingu]] |
||
Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni [[vyombo vya angani]] ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili. |

Pitio la 17:46, 1 Mei 2011
Gimba la angani ni jina kwa ajili ya magimba yanayopatikana katika anga ya ulimwengu.
Kati ya vitu hivi huhesabiwa:
- Jua
- Sayari
- Sayari kibete
- Miezi
- Vimondo (pia meteori au meteoridi)
- Asteroidi
- Nyotamkia
- Nyota
- Galaksi
- Nebula
- Mawingu
Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.
Elimu ya magimba ya angani ni falaki.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |