Tofauti kati ya marekesbisho "Periplus ya Bahari ya Eritrea"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
'''Periplus ya [[Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa [[merikebu]]; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya [[Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.
 
Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri ilikuwailiyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya [[Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.
 
Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.

Urambazaji