Tofauti kati ya marekesbisho "Big Show"

Jump to navigation Jump to search
30 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
[[Picha:Big Show Plays to the Crowd.jpg|thumb|350x350px|Huyu ni Big Show akiwa ulingoni]]
'''Paul Donald Wight II'''(anajulikana kwa [[jina]] la '''Big Show'''; alizaliwa [[8 Februari]] [[1972]]) ni mpiganaji wa [[mieleka]] na [[muigizaji]] wa [[Marekani]], amesajiliwa kwenye [[kampuni]] ya [[WWE]], ambapo anafanya kazi kwenye lebo ya Raw na anajulikana kwa [[jina]] la '''Big Show'''.
 
Big Show aliingia katika Mashindano ya World Championship Wrestling (WCW), ambapo alijulikana kwa jina la ''The Giant''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini [[mkataba]] na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni (WWF).
 
Katika WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa saba wa [[dunia]], akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, WWF/WWE mara mbili, WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja, na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia mataji manne.
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show mwaka 2018.]]
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika [[filamu]] na vipindi vya [[televisheni]] kama ''Jingle All the Way'',''The Waterboy'',''Star Trek Enterprise''.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kuongoza katika [[filamu]] ya uchekeshaji Knucklehead ambayo ilitolewa na WWE Studio.
 
{{mbegu-mtuigiza-filamu}}
 
 
{{mbegu-mtu}}
{{BD|1972|}}
[[Jamii:Wanamichezo wa Marekani]]

Urambazaji