Mijin : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mijin''' anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi). Ni kati ya wafiadini wa [...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mijin''' anatajwa kati ya [[Wakristo]] wa kwanza kuuawa kwa ajili ya [[imani]] yake [[Bara|barani]] [[Afrika]] ([[180]] hivi).
'''Mijin''' anatajwa kati ya [[Wakristo]] wa kwanza kuuawa kwa ajili ya [[imani]] yake [[Bara|barani]] [[Afrika]] ([[180]] hivi).


Ni kati ya [[wafiadini]] wa [[Madauros]] (karibu na [[M'Daourouch]], leo nchini [[Algeria]]), pamoja na [[Namfamo]], [[Sanami]] na [[Luchíta]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/82060</ref>.
Ni kati ya [[wafiadini]] wa [[Madauros]] (karibu na [[M'Daourouch]], leo nchini [[Algeria]]), pamoja na [[Namfamo]], [[Sanami]] na [[Luchíta]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/82060</ref>. [[Jina|Majina]] mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, Aresto, Artifa, Besa, Datulo, Degno, Evasi, Felisi, Felisiani, Kresto, Kwarti, Kwinti, Lukania, Martiri, Mose, Museo, Onorato, Orato, Paulo, Pompini, Privati, Reduktula, Rogasiani, Rustiko, Salvatori, Saturnini, Setimini, Sesiliana, Seliani, Sidini, Simplisi, Sito, Teturo, Tino, Vikta, Viktorino, Vikturi na Vinsenti.


Tangu kale wanaheshimiwa kama [[watakatifu]] kadiri ya [[barua]] ya [[Masimo wa Madaura]] kwa [[Augustino wa Hippo]].
Tangu kale wanaheshimiwa kama [[watakatifu]] kadiri ya [[barua]] ya [[Masimo wa Madaura]] kwa [[Augustino wa Hippo]].


[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] [[18 Desemba]].
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] [[18 Desemba]]<ref>https://catholicsaints.info/martyrs-of-northwest-africa/</ref>.


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Pitio la 10:42, 13 Februari 2020

Mijin anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi).

Ni kati ya wafiadini wa Madauros (karibu na M'Daourouch, leo nchini Algeria), pamoja na Namfamo, Sanami na Luchíta[1]. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, Aresto, Artifa, Besa, Datulo, Degno, Evasi, Felisi, Felisiani, Kresto, Kwarti, Kwinti, Lukania, Martiri, Mose, Museo, Onorato, Orato, Paulo, Pompini, Privati, Reduktula, Rogasiani, Rustiko, Salvatori, Saturnini, Setimini, Sesiliana, Seliani, Sidini, Simplisi, Sito, Teturo, Tino, Vikta, Viktorino, Vikturi na Vinsenti.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu kadiri ya barua ya Masimo wa Madaura kwa Augustino wa Hippo.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Desemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.