Brahmagupta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
paoneaanga
Mstari 2: Mstari 2:
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) ([[597]]–[[668]] [[BK]]) alikuwa [[Mhindi]] [[mtaalamu]] wa [[Hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa [[maandishi]] yake kuhusu fani hizo mbili.

Alikuwa msimamizi wa [[kituo cha astronomia]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Alikuwa msimamizi wa [[paoneaanga]] [[Mji|mjini]] [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).

Brahmagupta alikuwa [[mwanahisabati]] wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].
Brahmagupta alikuwa [[mwanahisabati]] wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia [[sifuri]]. Alitunga pia sheria za hesabu kwa [[namba hasi]].

Pitio la 11:13, 31 Desemba 2018

Brahmagupta

Brahmagupta (Kisanskrit: ब्रह्मगुप्त)) (597668 BK) alikuwa Mhindi mtaalamu wa Hisabati na astronomia anayekumbukwa kwa maandishi yake kuhusu fani hizo mbili.

Alikuwa msimamizi wa paoneaanga mjini Ujjain (Madhya Pradesh).

Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia sifuri. Alitunga pia sheria za hesabu kwa namba hasi.

Katika fani ya astronomia alipinga mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi uko mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uwe karibu zaidi.

Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano