Lou Bega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lou Bega
Lou Bega, 2019
Lou Bega, 2019
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa David Lubega
Amezaliwa 13 Aprili 1975 (1975-04-13) (umri 49)
Munich, Bavaria, Ujerumani ya Magharibi
Asili yake Ujerumani
Aina ya muziki Pop ya Kilatini
Mambo
Cha-cha-cha
Jazz
Hip hop
Kazi yake Mwimbaji, rapa, mtunzi wa nyimbo
Ala Kuimba, kurap
Miaka ya kazi 1988-hadi leo
Studio Lautstark, BMG, RCA Records, Unicade Music, Da Music, Big Records
Tovuti http://www.lou-bega.com


David Lubega (p.a.k Lou Bega; amezaliwa Munich, Ujerumani, 13 Aprili 1975) ni mwanamuziki mashuhuri kwa wimbo wake wa "Mambo No. 5". Wimbo huu umerudiwa tena baada ya kuchukua ala ya wimbo huu kutoka kwa mwanamuziki Perez Prado aliyoifanya kunako mwaka wa 1952. Bega akaongezea maneno yake na kuchukua sampuli nzima ya toleo la wimbo halisi.

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Chati zilizoshika
US UK DE [[:en:�3 Austria Top 40|AT]] CH [[:en:Syndicat national de l'�dition phonographique|FR]] NL FI SE NO AU NZ
1999 A Little Bit of Mambo 3 50 3 1 1 8 17 1 20 3 28
2001 Ladies and Gentlemen 54 31 23 109
2005 Lounatic

Single zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Chati zilizoshika Albamu
US UK DE [[:en:�3 Austria Top 40|AT]] CH [[:en:Syndicat national de l'�dition phonographique|FR]] NL FI SE NO AU NZ
1999 "Mambo No. 5" 3 1 1 1 1 1 1 1 1 1 1 1 A Little Bit of Mambo
"I Got a Girl" 55 19 19 20 5 31 2 12 31 48
"Tricky, Tricky" 74 55
2000 "Mambo Mambo" 11
2001 "Gentleman" 35 16 62 54 Ladies and Gentlemen
"Just a Gigolo" 94
2006 "Bachata" 100 69 88 Lounatic
"You Wanna Be Americano"
2007 "Conchita"

Kompilesheni[hariri | hariri chanzo]

  • 2002: King of Mambo
  • 2004: Mambo Mambo - The Best of Lou Bega

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • 1999: "Wimbo Bora wa Kimataifa", Festivalbar (kwa ajili ya "Mambo No. 5")
  • 2000: "Wimbo Bora wa Mwaka wa Kimataifa", NRJ Music Awards (kwa ajili ya "Mambo No. 5")
  • 2000: "Single ya Mwaka (Kitaifa)", ECHO (kwa ajili ya "Mambo No. 5")
  • 2000: "Msanii Bora Nchini katika Nchi za Kigeni", ECHO

Mwaka wa 1999, Lou Bega alipewa Tuzo ya Grammy katika kundi la "Mwimbaji Bora wa Kiume wa Pop" (kwa ajili ya wimbo wa "Mambo No. 5").

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]