Gentleman (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Gentleman”
“Gentleman” cover
Single ya Lou Bega
kutoka katika albamu ya Ladies and Gentlemen
Imetolewa 30 Aprili 2001
Muundo CD single
Aina Pop ya Kilatini
Urefu 3:40
Studio Unicade Music / BMG
Mtunzi Axel Breitung
Lou Bega
Zippy Davids
Mtayarishaji Goar B
Axel Breitung
Zippy Davids
Peter Hoff
Mwenendo wa single za Lou Bega
"Mambo Mambo"
(2000)
"Gentleman"
(2001)
"Just a Gigo"
(2001)

"Gentleman" ni jina la wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Wimbo huu ndiyo wa kwanza kutolewa kutoka katika albamu yake ya pili ya Ladies and Gentlemen.


Kwa kweli, wimbo wa "Gentleman" ni mbishi, kwa sababu mwungwana wa kweli wala hajidai kuwa yeye ni mwungwana. Wimbo unawazungumzia waungwana wa sikuhizi, ni jinsi gani ya kuwa mwungwana au namna gani ili uitwe mwungwana.[1]

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (2001) Nafasi
iliyoshika
Austria 16
France 54
Germany 35
Switzerland 62

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Maxi single
  1. "Gentleman" (Toleo la Redio) - 3:40
  2. "Gentleman" (Toleo Lingine la Redio) - 3:40
  3. "Gentleman" (Toleo la Kilatini) - 3:41
  4. "Club Elitaire" (Toleo la Albamu) - 5:05
  5. "Soon" (Kipande Kidogo kutoka katika Albamu Ijayo ya nne ya Lou Bega) - 3:40

Marejeo[hariri | hariri chanzo]