Lounatic
Mandhari
Lounatic | |||||
---|---|---|---|---|---|
Toleo jipya
|
|||||
Studio album ya Lou Bega | |||||
Imetolewa | 10 Mei 2005 (toleo la kwanza) 11 Agosti 2006 (toleo jipya) |
||||
Aina | Pop ya Kilatini, Jazz | ||||
Urefu | 51:01 (toleo la kwanza) 53:00 (toleo jipya) |
||||
Lebo | Da Music / Big Records | ||||
Mtayarishaji | Goar B | ||||
Wendo wa albamu za Lou Bega | |||||
|
|||||
Kasha badala | |||||
Toleo la kwanza |
"Lounatic" ni jina la albamu ya tatu ya mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2005. Kuna matoleo mawili ya albamu hii ya Lounatic: toleo la kwanza na toleo la pili. Pia, matoleo hayo yana orodha tofauti ya nyimbo. Kwa mfano wimbo wa "Conchita" haukuwepo katika albamu ya awali. Albamu haikupata chati yeyote ile katika orodha ya chati rasmi za nchi.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Toleo Jipya
[hariri | hariri chanzo]- "Conchita" (akish. Klazz Brothers na Cuba Percussion) - 3:43
- "Bachata" (akish. Alibi) - 3:24
- "Pussycat" - 3:27
- "You Wanna Be Americano" - 3:11
- "Get Better" - 3:49
- "We Makin' Love" - 3:44
- "Mrs. Monday" - 3:40
- "I Got Style" - 3:30
- "My Mama" - 3:19
- "What's up" (Guca Version) - 3:25
- "Egyptian Queen" - 3:13
- "Dance Like an African" - 3:24
- "Someday" - 3:42
- "Thank You" - 3:18
- "Return of "A Little Bit" (Mambo No. 2005)" (akish. Mixmaster Erich) - 3:48
Toleo la Kwanza
[hariri | hariri chanzo]- "Mambo vs. Mozart" (akish. Klazz Brothers na Cuba Percussion) - 3:43
- "Pussycat" - 3:24
- "Chocolata" - 3:24
- "Return of "A Little Bit" (Mambo No. 2005)" (akish. Mixmaster Erich) - 3:49
- "We Makin' Love" - 3:43
- "Get Better" - 3:47
- "I Got Style" - 3:27
- "You Wanna Be Americano" - 3:08
- "My Mama" - 3:18
- "Bachata" - 3:22
- "Dance Like an African" - 3:22
- "Egyptian Queen" - 3:13
- "Someday" - 3:40
- "Call Your Name" - 2:52
- "Thank You" - 3:17
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]