Litungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Litungu ni ngoma ya asili inayochezwa na kabila la Waluhya (pamoja na Wabukusu) na la Wakisii katika baadhi ya maeneo ya Kenya [1] na vilevile na kabila la Wakurya lililoko sehemu mbalimbali za mkoa wa Mara nchini Tanzania, kama vile Tarime, Serengeti, Mugumu, Rorya, Bunda,[2].

Litungu inatumia ala ya muziki yenye kamba saba au nane.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.jstor.org/stable/3334593 "Some Musical Instruments of Kenya"], by Graham Hyslop (African Arts, v. 5, no. 4, Summer 1972, pp. 48-55)
  2. https://www.youtube.com/watch?v=88HwSB9LugY
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Litungu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.