Tarime
Mandhari
| Mji Mdogo wa Tarime | |
|
Mahali pa Tarime katika Tanzania |
|
| Majiranukta: 1°20′32″S 34°22′48″E / 1.34222°S 34.38000°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mara |
| Wilaya | Tarime |
| Idadi ya wakazi | |
| - Wakazi kwa ujumla | 33,431 |

Tarime ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Tarime ilihesabiwa kuwa 29,339 [1].
Mwaka 2012 kata ya Tarime Mjini iligawiwa kuwa kata za Bomani, Sabasaba na Nyamisangura.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Matokeo ya sensa ya 2002". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. Iliwekwa mnamo 2004-03-20.
| Kata za Wilaya ya Tarime Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania |
||||
|---|---|---|---|---|
|
Binagi * Bumera * Ganyange * Gorong'a * Gwitiryo * Itiryo * Kemambo * Kibasuka * Kiore * Komaswa * Kwihancha * Manga * Matongo * Mbogi * Muriba * Mwema * Nyakonga * Nyamwaga * Nyansincha * Nyanungu * Nyarero * Nyarokoba * Pemba * Regicheri * Sirari * Susuni
| ||||