Kiore
Kiore ni kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31425 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,020 waishio humo. Kata ya Kiore iligawanywa toka kata ya zamani ya Nyandoto. jina linatokana na mlima Kiore uliopo kati ya vijiji vya Nyagisya na Kewamamba. Mkaazi mkongwe wa Kitongoji cha Kiore-Nyagisya, Mzee Anthony Roche(91)anasema Wakaazi wa Kiore ni wakuria jamii ya Wasweta waliosambaratishwa kutoka ngome yao iliyojulikana kama Kwigori na mabomu ya wajerumani wakati wa utawala wao Tanganyika.Baada ya shambulioo la mabomu walisambaa kuzingira mlima Kiore.[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Tarime - Mkoa wa Mara - Tanzania |
![]() | ||
---|---|---|---|---|
Binagi * Bomani * Bumera * Genyange * Gorong'a * Itiryo * Kemambo * Kentare * Kibasuka * Kiore * Komaswa * Manga (Tarime) * Matongo * Mbogi * Muriba * Mwema * Nkende * Nyakonga * Nyamaranga * Nyamisangura * Nyamwaga * Nyandoto * Nyansincha * Nyanungu * Nyarero * Nyarokoba * Pemba * Sabasaba * Sirari * Susuni * Turwa
|