Lidwini wa Trier
Mandhari
Lidwini wa Trier (pia: Leudwinus, Leodewin, Liutwin, Ludwin, Lutwin, Lutwinus; Mettlach, leo nchini Ujerumani, 660 hivi - Reims, leo nchini Ufaransa, 29 Septemba 717) alikuwa askofu wa Trier[1], leo nchini Ujerumani, na wa Laon[2][3], leo nchini Ufaransa . Alianzisha monasteri ya Mettlach [4].
Kabla ya hapo alikuwa na mke na watoto 2 au 3. Alipofariki, yule wa kwanza, Milo, akawa askofu badala yake.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu, kama baba yake, Warinus, na mjomba wake, Basinus.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Persch, Martin. "Heiliger Liutwin, Erzbischof von Trier". Biographiisch-Bibliographisches Kirchenlexicon. Verlag Traugott Bautz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-23. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Weiner, Dr. Andreas. "Heiliger Lutwinus bitte für uns!". www.lutwinuswerk.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 26, 2013. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "St. Ludwin". Catholic Online, Saints & Angels. Catholic.org. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/72440
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Georg Gresser: History of the Diocese of Speyer to the end of the 11th Century (Geschichte des Bistums Speyer bis zum Ende des 11. Jahrhunderts) Quellen und Abhandlungen zur Mittelrheinischen Kirchengeschichte Band 89. Mainz 1998.
- Georg Gresser: Liutwin. In: Church and Theology Lexicon. Band 6. Freiburg 1997, Sp. 1009.
- Andreas Heinz: Saints in the Saarland (Heilige im Saarland) 2. Auflage. Saarbrücker Druck und Verlag, Saarbrücken 1991, ISBN 3-925036-44-X.
- Franz Xaver Kraus: Ludwin. In: General German Biography(Allgemeine Deutsche Biographie) (ADB). Band 19, Duncker & Humblot, Leipzig 1884, S. 616 f.
- Friedrich Schneider: The Relics of the Holy Lutwinus to Mettlach (Die Trinkschale des Heiligen Lutwinus zu Mettlach). Von Zabern, Mainz 1905 (Digitalisat)
- Constantin von Briesen: Historical Documents of the Merzig-Wadern Circle (Urkundliche Geschichte des Kreises Merzig-Wadern) Franz Stein, Saarlouis 1863.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Lutwinuskirche" Archived 29 Aprili 2018 at the Wayback Machine. in St. Lutwinus Church, Mettlach.
- "St. Ludwin" Profile at Catholic.org
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |