Leonidas wa Aleksandria
Mandhari
Leonidas wa Aleksandria (kwa Kigiriki: Λεωνίδης, Leonides; alifariki 202) alikuwa Mkristo wa Misri ambaye alifia dini yake kwa upanga wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus[1].
Leonidas alimsaidia mwanae Origen kujiendeleza kadiri ya akili yake kubwa ajabu na kujua Biblia tangu utotoni[2]. Baada ya huyo, alizaa walau watoto wengine sita[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[5].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[6][7].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eusebius Pamphilius, Church History, Book VI, Chapter I
- ↑ "Origen's father". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-07. Iliwekwa mnamo 2019-09-27.
- ↑ Crouzel, H. trans. A. S. Worrall, Origen (Edinburgh: T&T Clark, 1989)
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/50250
- ↑ https://dacb.org/stories/egypt/leonides/
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Butler, A., Lives of the Saints: St. Leonides, Martyr, accessed 23 December 2016
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |