Langenburg
Mandhari
Langenburg ni jina la kihistoria nchini Tanzania. Kwa Kijerumani lina maana ya "boma ndefu". Linaweza kutaja
- Langenburg au Alt-Langenburg, bandari na boma kwenye Ziwa Nyasa, leo Lumbila
- Neu-Langenburg, leo Tukuyu
- Mkoa wa Langenburg, mkoa wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ulioenea katika mikoa ya Mbeya na Songwe ya leo.