Kwakifua
Kwakifua ni jina la moja ya kata za Wilaya ya Muheza, nchini Tanzania yenye Postikodi namba 21412. Kulingana na sensa ya mwaka 2012, kata hii inakadiriwa kuwa na wakazi 3084.[1].
Kata hii inaundwa na vijiji vitatu, ambavyo ni Ngarani, Mpakani na Kwakifua kilichotoa jina la kata.
Kata hii imepakana na kata za Kilulu, Kwafungo na Bwembwera.
Shughuli za uchumi[hariri | hariri chanzo]
Wakazi wa hii kata ni Wabondei kwa kabila na walio wengi ni wakulima kama shughuli kuu ya uchumi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Muheza - Mkoa wa Tanga - Tanzania |
![]() |
---|---|---|
Amani | Bwembwera | Genge | Kicheba | Kigombe | Kilulu | Kisiwani | Kwabada | Kwafungo | Kwakifua | Kwemingoji | Kwemkabala | Kwezitu | Lusanga | Magila | Magoroto | Majengo | Makole | Masuguru | Mbaramo | Mbomole | Mhamba | Misalai | Misozwe | Mkuzi | Mlingano | Mpapayu | Mtindiro | Ngomeni | Nkumba | Pande Darajani | Potwe | Songa | Tanganyika | Tingeni | Tongwe | Zirai |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kwakifua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |