Majadiliano:Kwakifua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

kwakifua ni jina la moja ya kata za wilaya ya muheza. kulingana na sensa ya mwaka 2012, kata hii inakadiliwa kuwa na wakazi 3084, hata hivyo idadi hii ni ya wastani ukilinganisha na idadi ya wakazi katika kata zingine.

Kama ni kweli, ukurasa huu unahitajika, tena si kama mawasiliano tu... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:38, 29 Aprili 2016 (UTC)
Naona mgeni aliandika hapa upande wa majadiliano (alikosea? aliogopa kosa?) nikaihamisha na kusanifisha ukurawa mwenyewe wa makala, Kipala (majadiliano) 16:10, 29 Aprili 2016 (UTC)