Krodegangi wa Seez
Mandhari
Krodegangi wa Seez (alifariki Nonant, 769) alikuwa askofu wa 15 wa Seez[1] nchini Ufaransa, aliyeuawa na ndugu wa mzazi wake mwenye kijicho[2] [3].
Alikuwa pacha[4] wa Oportuna[5][6].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[7].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Site du diocèse de Sées". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-17. Iliwekwa mnamo 2024-05-11.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ La vie de sainte Opportune, abbesse d'Almenèches au diocèse de Séez en Normandie, Léon de La Sicotière (1866), BnF - Gallica.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/68920
- ↑ O.& Ph. Thos, « Sur les traces de saint Godegrand », in À la croisée de nos chemins, Kigezo:P., n° 37, Bayard, Vern-sur-Seiche, juin 2015.
- ↑ Jones, Terry. "Opportuna". Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-02-25.
- ↑ Rabenstein, Katherine (Aprili 1999). "Opportuna of Montreuil, OSB". Saints O' the Day for April 22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 6, 2007. Iliwekwa mnamo 2012-02-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Léon de La Sicotière, La Vie de sainte Opportune, abbesse d’Almenèches au diocèse de Séez en Normandie : Poème légendaire du Moyen Âge, Éd. H. Boissel, Rouen, Société des bibliophiles normands n° 11, 1866 ([1])
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |