Kipembezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Vipembezo vya kutolea vinaitwa kiwambo na kipaza sauti.
Kipembezo cha kuingia kinaitwa baobonye

Katika utarakilishi, kipembezo (pia: pembezo[1]; kwa Kiingereza: peripheral) ni kitumi chote cha tarakilishi ambacho kinatumika ili kuingia na kuondoa taarifa kutoka tarakilishi.

Kuna aina kadhaa za vipembezo.

  1. Kitumi cha kuingia ambacho kinatuma data tarakilishi, kama kipanya, baobonye, kamera pembuzi au kitambazo.
  2. Kitumi cha kutolea ambacho kinatoa kitoleo cha tarakilishi, kama kichapishi, kiwambo au kipaza sauti.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.