Kitambazo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa kitambazo.

Katika utarakilishi, kitambazo (kwa kiingereza: scanner au image scanner) ni kifaa kinachotumiwa na tarakilishi ili kutambaza maandishi yaliyochapwa na kuyabadilisha kuwa michoro ya kidijiti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).