Kihangi Mahuka
Kata ya Kihangi Mahuka | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Ruvuma |
Wilaya | Mbinga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 12,832 |
Kihangi Mahuka ni kata ya Wilaya ya Mbinga katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania yenye postikodi namba 57413. Kata hiyo inapatikana mashariki ya wilaya ya Mbinga ikipitiwa na barabara kuu ya Mbamba Bay - Mtwara.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,832 waishio humo.[1]
Kata hiyo imeundwa na vijiji vinne ambavyo ni: Kihangi Mahuka, Lipumba, Lihutu na Mahumbato (Nswika).
Jina la Kihangi Mahuka limetokana na mlima Kihangi unaopatikana eneo hilo. Mahuka ni neno katika lugha ya wenyeji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Mbinga - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Amani Makoro | Kambarage | Kigonsera | Kihangi Mahuka | Kipapa | Kipololo | Kitumbalomo | Kitura | Langiro | Linda | Litembo | Litumbandyosi | Lukarasi | Maguu | Mapera | Matiri | Mbuji | Mhongozi | Mikalanga | Mkako | Mkumbi | Mpapa | Muungano | Namswea | Ngima | Nyoni | Ruanda | Ukata | Wukiro |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kihangi Mahuka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |