Nenda kwa yaliyomo

Kapa (pwani)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kapa nchini Panama

Kapa au wangwa (wengi: nyangwa) ni msitu unaokua katika maji ya chumvi kwenye fuko za bahari za kanda za tropiki na nusutropiki (kati ya latitudo za 25º kaskazini na 25º kusini). Jumla ya maeneo ya kapa duniani kote ilikuwa km² 137,800 (maili za mradi 53,190) katika nchi na maeneo 118 mwaka 2000[1][2].

Miti inayokua ndani ya nyangwa, kama mikoko na mikandaa, inaweza kumudu maji yenye chumvi nyingi. Na mizizi yao inaunda matawi yanayomea juu ya matope na kupumua hewa, kwa sababu matope hayana oksijeni ya kutosha. Spishi nyingine zinabebwa juu ya mizizi kama magongo.

Spishi za miti ya kapa zinazotokea Afrika ya Mashariki ni:

  1. Giri, C. et al. Status and distribution of mangrove forests of the world using earth observation satellite data. Glob. Ecol. Biogeogr. 20, 154–159 (2011).
  2. "Status and distribution of mangrove forests of the world using earth observation satellite data" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-08-08. Iliwekwa mnamo 2012-02-08.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.