Nenda kwa yaliyomo

Jinsi Kijana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Jinsi Kijana"
"Jinsi Kijana" kava
Wimbo wa Juma Nature

kutoka katika albamu ya Nini Chanzo

Umetolewa 2001
Umerekodiwa 2001
Aina ya wimbo Hip hop
Urefu 4:26
Studio Bongo Records
Mtunzi Juma Nature
Mtayarishaji P. Funk
Nini Chanzo orodha ya nyimbo
  1. "Kighettoghetto"
  2. "Sonia"
  3. "Wimbi la Njaa" (remix 2001)
  4. "Jinsi Kijana"
  5. "Tumepigika"
  6. "Nini Chanzo"
  7. "Juu kwa Juu"
  8. "Hili Game"
  9. "Jinsi Kijana" (remix)
  10. "Haya We"
  11. Wimbi la Njaa (orijino 2000)

"Jinsi Kijana" ni jina la wimbo kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records. Wimbo huu ndio uliomtambulisha Nature kurudi kwake baada ya kupiga kimya kwa muda mrefu karibia mwaka kasoro kidogo. Kipindi hiki Nature alikuwa anaongoza kwa kushirikishwa katika nyimbo za watu. Hasa miaka ya 2000 mwanzoni hadi mwishoni. Lakini muda akawa hajasikika, pindi aliposikika kikatoka kibao hiki.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Kigezo:Juma Nature