Hili Game

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Hili Game"
"Hili Game" kava
Wimbo wa Juma Nature

kutoka katika albamu ya Nini Chanzo

Umetolewa 2001
Umerekodiwa 2001
Aina ya wimbo Hip hop
Urefu 4:03
Studio Bongo Records
Mtunzi Juma Nature
Mtayarishaji P. Funk
Nini Chanzo orodha ya nyimbo
  1. "Kighettoghetto"
  2. "Sonia"
  3. "Wimbi la Njaa" (remix 2001)
  4. "Jinsi Kijana"
  5. "Tumepigika"
  6. "Nini Chanzo"
  7. "Juu kwa Juu"
  8. "Hili Game"
  9. "Jinsi Kijana" (remix)
  10. "Haya We"
  11. Wimbi la Njaa (orijino 2000)

"Hili Game" ni jina la wimbo wa mwisho kutolewa kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records. Wimbo huu huhesabiwa kama alama ya Nature. Hadi sasa kama anafanya tamasha bila kuimba Hili Game basi hilo tamasha halijafana. Wimbo umemshirikisha TID wakati huo anaanza gemu. Si wengi wanajua kama kiitikio kiliimbwa na TID.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Kigezo:Juma Nature