Juma Nature

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juma Nature
Juma Nature
Juma Nature
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Juma Kassim Ally
Pia anajulikana kama Sir. Nature
Kibla
Msitu wa Vina
Jitu la Maneno ya Shombo
Amezaliwa 1980
Kazi yake Rapa
Miaka ya kazi 1997 - hadi leo
Studio Bongo Records
Sound Crafters Records
Mj Records
Ame/Wameshirikiana na Dknob
Mh Temba
Dark Master
TID
Solo Thang
Professor Jay
AY
Inspector Haroun
Chegge
Mandojo na Domokaya
Zay B.

Juma Nature au Sir Nature (alizaliwa kama Juma Kassim Ally huko Dar es Salaam, 1980) ni mwanamuziki wa aina ya Bongo Flava na Hip Hop kutoka Tanzania. Ni mwanzilishi wa kundi la TMK.

Nature ni msanii mbunifu: si mtunzi tu; pia ana kipaji cha kujaliwa na sauti nzuri ya uimbaji. Sababu nyingine zipelekeazo muziki wa Juma Nature upendwe Afrika Mashariki ni mashairi anayotunga. Baadhi za nyimbo zilizompa heshima kitaifa ni ile ya 'Umoja wa Tanzania' ambayo yenyewe ilikuwa inataka kupatanisha mgogoro wa kisiasa kati ya vyama vya CCM na CUF. Hakuishia hapo, zipo nyimbo nyingine nyingi tu zenye kutoa husia kwa Taifa. [1][2]

Albamu alizotoa[hariri | hariri chanzo]

  • Nini Chanzo (2010)
  • Ugali (2010)
  • Ubinadamu-Kazi (2005)
  • Zote History (2006)

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juma Nature kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.