Jimbo la Sidama
Mandhari
Sidama Jimbo la Sidama |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Sidama katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Awasa | ||
Eneo | |||
- Jumla | 12,000 km² | ||
Idadi ya wakazi (2020) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 3,200,000 |
Jimbo la Sidama ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia. Limeanzishwa mwaka 2020.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,200,000, wengi wakiwa Wasidama, wanaongea Kisidama na ni Wakristo wa madhehebu ya Kiprotestanti.
Makao makuu ni Awasa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Sidama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |