Jay Moe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jay Moe
Jay Moe
Jay Moe
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Juma Mohamed Mchopanga
Pia anajulikana kama Mo Skills
Superman
Mo Genius
Mr. Mchopange
Amezaliwa 27 Novemba 1978 (1978-11-27) (umri 42)
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwimbaji
Miaka ya kazi 1998-hadi leo
Studio Bongo Records
Kama Kawa Records
Ame/Wameshirikiana na TID
Imam Abbas
P Funk
Dknob
Mchizi Mox
Solo Thang
Jahfarai
Lord Eyez

Juma Mohamed Mchopanga (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jay Moe; amezaliwa 27 Novemba 1978) ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Jay Moe ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop na rapa maarufu kama Wateule.

Anajulikana kwa vibao vyake mashuhuri kama vile Bishoo, Jua na Mvua, Kama Unataka Demu, Maisha ya Boding, Stori Tatu Tofauti, na Sihitaji aliyofanya na Lord Eyez wa Nako 2 Nako. Pia anafahamika zaidi kwa kuimba maneno magumu na yenye vina vitata, sanasana ni yeye na Fid Q.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay Moe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.