Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Jay Moe

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala in topic Habari za kimsingi zakosekana

Habari za kimsingi zakosekana

[hariri chanzo]

Makala bado yakosa habari za kimsingi kama umri / tarehe au angalau mwaka wa kuzaliwa, alipozaliwa, alikosoma n.k. Kwa jumla nafurahia michango ya wanamuziki na upanuzi wa idara hiyo katika wikipedia yetu ila tu ningefurahia zaidi kama makala yaboreshwa kulingana na kawaida ya kamusi elezo. --Kipala 16:35, 25 Agosti 2007 (UTC)Reply