Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper | |
---|---|
Amezaliwa | Jacqueline Wolper Massawe. 6 Desemba 1987 Moshi, Kilimanjaro, Tanzania |
Kazi yake | Mwigizaji Mwanamitindo Mjasiriamali |
Miaka ya kazi | 2007-hadi sasa |
Jacqueline Wolper Massawe (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania, 6 Desemba 1987) ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka chini Tanzania.[1]
Wolper amecheza filamu nyingi tu nchini na aliletwa kwenye ulimwengu wa filamu na mwigizaji mwenzake Lucy Komba. Filamu alizocheza ni pamoja na: Tom Boy – Jike Dume, Crazy Desire, Mahaba Niue, I am Not Your Brother, Chaguo Langu, Dereva Taxi, Shoga Yangu na Family Tears. Wolper amekuwa mtu wa kutokea katika magazeti mara kwa mara na kashfa kedekede. Mahusiano yake na Harmonzie yalikuwa magazetini kila siku hadi walipoachana.[2][3]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Jacqueline Wolper Massawe alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Mawenzi na baadaye kuhamia Magrath, Ekenywa na Masai kwa ajili ya elimu ya sekondari hadi mwaka 2000.
Wolper vilevile alisomea masuala ya biashara huko Arusha na vilevile hujishughulisha na mambo ya urembo. Hasa kwa kuwashughulikia warembo katika mavazi na mitindo mbalimbali.[4][5]
Baadhi ya filamu zake
[hariri | hariri chanzo]- Tom Boy – Jike Dume
- Hard Price
- Robson Rambo
- Nikole
- Crazy Desire
- Mbegu
- After Death
- Impossible
- My Princess
- Tikisa
- Mahaba Niue
- Pain for Pain
- P.F.P
- Think Before
- Identity Card
- Babylon
- Before Wedding
- I am Not Your Brother
- Curse of Marriage
- Ulimi
- Mr.Nobody
- Total Confusion
- Pusi na Paku
- Lupepo Village
- Hukumu ya Mande
- Ndoa Yangu
- Mtekaji
- Chocolate
- End of Evil
- The Dilomat
- My Intention
- Time After Time
- Chaguo Langu
- Siri ya Moyo Wangu
- God is Great
- Saa 4
- Swadakta
- Gaitan
- Clinic Love
- Dereva Taxi
- The Impact
- Mens Day Out
- Dunia Nyingine
- Determination
- Aching Heart
- Shoga yangu
- Signature
- Mafisadi wa Mapenzi
- All About Love
- Eagle Eyes
- Wrong Decision
- Mtegoni
- Ama Zako Ama Zangu
- Suprise
- Fake Love
- Life 2 Life
- Pete ya Ajabu
- The Avenger
- Mtumwa
- Secretary
- Last Minutes
- Red Valentine
- Jozani
- Ndani ya Gunia
- Roho Sita Revelation
- Family tear
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ PeoplePill. "Jacqueline Wolper: Tanzanian Actress (1987-) | Biography, Facts, Career, Wiki, Life". PeoplePill. Iliwekwa mnamo 2020-08-22.
- ↑ HARMONIZE DUMPED BY HER BABY MAMA JACQUELINE WOLPER imeingiza tarehe 17 Januari, 2017.
- ↑ [http://web.archive.org/20201019133711/https://edaily.co.ke/entertainment/jacqueline-wolper-why-i-dumped-diamond-platnumz-crony-125802/enews/eafrican/ Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. kuachana kwa Jacqueline Wolper] Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. na Harmonize katika wavuti ya E-Daily Kenya.
- ↑ Jacqueline Wolper Ilihifadhiwa 18 Juni 2017 kwenye Wayback Machine. katika "wavuti" ya Bongo Cinema.com
- ↑ mahojiano na The Sporah Show -liopewa jina "JACQUELINE WOLPER LIKE NEVER BEFORE"
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Jacqueline Wolper mahojiano katika Mkasi TV - Youtube
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Wolper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Wolper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |