Chaguo Langu
Mandhari
Chaguo Langu | |
---|---|
Posta ya Chaguo Langu | |
Imeongozwa na | Single Mtambalike |
Imetayarishwa na | Bulls Entertainment |
Imetungwa na | Single Mtambalike |
Nyota | Jacqueline Wolper Single Mtambalike Adam Kuambiana |
Sinematografi | Kabuti Onyango |
Imesambazwa na | Steps Entertainment |
Imetolewa tar. | 2012 |
Nchi | Tanzania |
Lugha | Kiswahili |
"Chaguo Langu" ni jina la filamu iliyotoka 2012 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Jacqueline Wolper, Single Mtambalike na Adam Kuambiana. Filamu imeongozwa na Mtambalike na kutayarishwa na Bulls Entertainment. Filamu inaelezea hadithi ya binti aliyelelewa katika mazingira ya dini kupita kiasi, lakini anakutana na changamoto ya kufuata tabia zisizo za kimaadili hasa mumewe kutaka avae mavazi yasiyoendana na maadili aliyokuziwa nayo. Baadaye anapata vishawishi kadhaa kutoka kwa mganga wa kienyeji na kumpoteza mumewe katika mazingira ya kichawi.[1]
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Chaguo Langu Archived 9 Januari 2017 at the Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chaguo Langu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |