Nenda kwa yaliyomo

Mahaba Niue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahaba Niue

Posta ya Mahaba Niue
Imeongozwa na Rashid Mrutu
Imetayarishwa na Steps Entertainment na,
Simulizi African Entertainment
Imetungwa na Simon J. Mwapangata
Nyota Simon Mwapangata
Jacqueline Wolper
Haji Salum
Zubery Mohamed
Sinematografi Bakari Mtaullah
Imetolewa tar. 2013
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

"Mahaba Niue" ni jina la filamu ya vichekesho iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Simon Mwapangata, Jacqueline Wolper, Haji Salum na Zubery Mohamed. Filamu imeongozwa na Rashid Mrutu na kutayarishwa na Steps Entertainment na Simulizi African Entertainment. Filamu inahusu mambo ya wivu kupita kiasi katika suala zima la mapenzi na kuhusu ndoa kwa wanawake warembo na changamoto zake.[1]


Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahaba Niue kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.