Tom Boy – Jike Dume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'

Posta ya Tom Boy – Jike Dume
Imeongozwa na Ismail Zingo
Imetayarishwa na Nice Entertainment
Mtaya. Mtendaji: Steps Entertainment
Imetungwa na Nice Mohamed
Nyota Seif Mbembe
Abdallah Mkumbila
Jaqueline Wolper
Nice Mohamed
Sinematografi Kabuti Onyango
Imesambazwa na Steps Entertainment
Imetolewa tar. 2014
Lugha Kiswahili

"Tom Boy – Jike Dume" ni jina la filamu iliyotoka 2014 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Seif Mbembe, Abdallah Mkumbila, Jaqueline Wolper na Nice Mohamed. Filamu imeongozwa na Ismail Zingo na kutayarishwa na Nice Mohamed akiwa na Steps Entertainment. Filamu inahusu mwanamke mmoja anayejita mwanaume ilhali ni mwanamke. Kupenda na kutenda mambo ya kiume.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tom Boy – Jike Dume kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.