Nice Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nice Mohamed
Amezaliwa Nice Mohamed
17 Aprili 1973 (1973-04-17) (umri 46)
Tanzania
Kazi yake Mwigizaji
Mwongozaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 2001-hadi sasa

Nice Mohamed (amezaliwa 17 Aprili, 1973) ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa ushiriki wake katika mifululizo ya TV iliyokuwa inarushwa hewani na ITV chini ya Kaole Sanaa Group na jina maarufu la Mtunisi. Filamu alizocheza ni pamoja na: Tom Boy – Jike Dume, The Dream Ndoto, Kisasi cha Utata, Yellow Banana na Chanzo Kisu.[1]

Baadhi ya filamu zake[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]