Jaji Mkuu wa Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jaji Mkuu wa Zanzibar ni jaji mkuu wa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye huteuliwa na Rais wa Zanzibar kwa kushauriana na Tume ya huduma za kimahakama na ndiye anayeongoza Mahakama Kuu ya Zanzibar.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Zanzibar ilikuwa nchi iliyolindwa na Uingereza kufuatia Makubaliano ya Anglo-German ya mwaka 1890.

Amri ya Baraza iliunda Mahakama Tukufu ya Kibritania kwa ajili ya Zanzibar ikiwa na jaji kiongozi mwaka 1897.

Amri nyingine ilianzisha Mahakama Kuu mwaka 1925.

Usultani wa Zanzibar ilipata uhuru wake mnamo Desemba 1963 na baada ya mapinduzi mwezi mmoja baadaye uligeuzwa kuwa Jamhuri ya Unguja na Pemba.

Mwaka 1964 iliunganishwa na Tanganyika na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambayo baadaye mwaka huo ilibadilishwa jina na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Licha ya kuunganishwa sehemu zote mbili za jimbo jipya zilihifadhi mifumo yao ya zamani ya mahakama.

Majaji wakuu Zanzibar[hariri | hariri chanzo]

Majaji wakuu Zanzibar[hariri | hariri chanzo]

Tazama zaidi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zanzibar: Constitution". Electoral Institute of Southern Africa. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 June 2012. Iliwekwa mnamo 29 December 2009.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Lubuva New NEC Chairman". www.tmcnet.com.