Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jaji Mkuu wa Tanzania)
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania ni cheo ama wadhifa wa juu zaidi katika mfumo wa mahakama wa Tanzania . Jaji mkuu huteuliwa na Rais wa Tanzania na huongoza Mahakama ya Rufani ya Tanzania. [1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Baada ya Vita vya Kwanza vya dunia, wakoloni wa zamani wa Tanganyika ,wajerumani waliwekwa chini ya mamlaka ya Uingereza katika Mkataba wa Versailles mwaka wa 1919. [2] Mwaka mmoja baadaye, Mahakama Kuu ilianzishwa kwa sheria katika Baraza na nafasi ya jaji mkuu ikaundwa. [3] Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 na baada ya mwaka mmoja ikageuzwa kuwa jamhuri. [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |